Afya na usalama wa kazi
Kazi Salama Australia imeunda mwongozo wa kusaidia biashara na watu binafsi ili kuelewa majukumu yao chini ya sheria za afya na usalama wa kazi na jinsi ya kupunguza hatari ambazo ziliwekwa na COVID-19.
Kwa habari zaidi, nenda kwenye swa.gov.au/coronavirus