Ukatili wa nyumbani

Nyakati ngumu hazitoi ruhusa kwa nyakati ngumu nyumbani. Ikiwa wewe au mtu unayemjua ameathirika na ukatili au unyanyasaji wa nyumbani, wasiliana na 1800RESPECT kwenye 1800 737 732 kwa ushauri na msaada wa bure na siri. Inapatikana wakati wowote, kwa wanawake na wanaume. Msaada mtandaoni unapatikana pia kwenye http://www.1800respect.org.au/